Dau la Ecua Yanga kiboko

YANGA imemtambulisha mmoja ya washambuliaji wapya kutoka Ivory Coast, Celestin Ecua aliyemaliza Ligi ya nchi hiyo akiwa na mabao 15 na asisti 12 na huku mtandaoni mashabiki wa klabu hiyo wanatamba, lakini ni kwamba dau lililomfanya atue Jangwani sio la kitoto. Straika huyo…

Read More

Stars yaandika rekodi mpya CHAN, ikiizima Mauritania

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeandika rekodi mpya katika fainali za CHAN, baada ya kushinda mechi ya pili mfululizo ya Kundi B kwa kuifumua Mauritania kwa bao 1-0 na kufikisha pointi sita. Stars imepata ushindi huo usiku huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam na kuifanya ifikishe pointi hizo ambazo haijawahi…

Read More

Mwandishi Mwanaspoti atunukiwa cheti cha shukrani

MWANDISHI wa Habari za Michezo wa Mwanaspoti, Gazeti linalozalishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Nevumba Abubakar ametunukiwa tuzo na Chama cha Mpira wa Miguu kwa Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Arusha (ARAFA) kutokana na kutambua mchango wake katika uandishi wa habari za mchezo huo. Cheti hicho amekabidhiwa na Mwenyekiti wa ARAFA, Daud Mnongya mapema leo…

Read More

Fadlu: Tupo kazini, Simba ya moto inakuja

KOCHA wa Klabu ya Simba, Fadlu Davids, amefunguka kuhusu hali ya kikosi chake, programu ya maandalizi wakiwa kambini nchini Misri, changamoto za usajili na matumaini yake kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani na kimataifa. Kupitia mahojiano maalum na mtandao wa klabu hiyo upande wa Youtube, Fadlu ameeleza wanavyoijenga upya Simba, akitumia maandalizi hayo kama…

Read More

Utambulisho wa Tshabalala Yanga wamfunika hadi Sowah

UTAMBULISHO wa aliyekuwa nahodha wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ ndio wenye mapokezi makubwa zaidi dirisha hili la usajili kwa klabu za Simba na Yanga ukimpiku Jonathan Sowah wa Simba. Tshabalala ametambulishwa usiku wa kuamkia leo Jumatano hadi sasa baada ya kupostiwa mtandao wa kijamii Instagram wadau wa soka 132k wamependezwa na utambulisho wake wakati mshambuliaji…

Read More

Rasmi Samatta kucheza Le Havre Ufaransa

Nyota wa soka wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Le Havre inayoshiriki Ligi Kuu Ufaransa (Ligue 1), hatua inayoweka historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza Mtanzania kucheza katika ligi hiyo ya juu  nchini humo. Le Havre wamemtambulisha mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 32, wakithibitisha kuwa atavaa jezi namba 70…

Read More

Kwa Mkapa badobado | Mwanaspoti

LICHA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutangaza viingilio ni bure kwenye mechi za leo za mashindano ya CHAN, lakini Uwanja wa Mkapa hauna shamrashamra. “Wanetu wa mzunguko watu 10,000 wa kwanza mnapata ofa ya tiketi ya kuingia uwanjani bila kulipa, unachotakiwa kufanya beba kadi yako ya N-Card suala la tiketi ya kuingia tuachie sisi …

Read More

Namungo FC yatua kwa Kocha Mkongomani

UONGOZI wa Namungo FC umefungua mazungumzo ya kumuajiri Mkongomani Guy Bukasa ili akiongoze kikosi hicho msimu ujao, ikiwa ni hatua nyingine baada ya mabosi kushindwa kufikia makubaliano ya kumrejesha Mzambia Hanour Janza. Janza aliyeifundisha timu ya Taifa ya Taifa Stars kisha baadaye kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa Ufundi wa ZESCO United ya kwao Zambia alikuwa akipigiwa…

Read More

Yanga ni mwendo wa dozi

UNAJUA maisha yanayoendelea pale  Jangwani kwa sasa? Kama huelewa, basi taarifa ikufikie kwamba mambo ni moto kwelikweli huku utambulisho wa mastaa wapya ukiendelea. Nyuma ya utambulisho huo kuna sapraizi moja matata inapikwa na kinachoelezwa ni kwamba mastaa wa timu hiyo kwa sasa wanaifanyia…

Read More