Tanimu: Beki Ihefu aliyekipiga na Osimhen, Iwobi na Ihenacho
Wiki chache zilizopita bendera ya Tanzania ilipepea huko Nigeria kwa mchezaji wa Ligi Kuu Bara, Benjamin Tanimu kutoka Ihefu (Singida Black Stars) kuitwa na kucheza katika kikosi cha Super Eagles kilichokuwa na mastaa kama vile Nathan Tella (Bayer Leverkusen), Victor Osimhen (Napoli), Kelechi Iheanacho (Leicester City) na Alex Iwobi (Fulham FC). Tanimu ambaye ni beki…