
Yanga ni mwendo wa dozi
UNAJUA maisha yanayoendelea pale Jangwani kwa sasa? Kama huelewa, basi taarifa ikufikie kwamba mambo ni moto kwelikweli huku utambulisho wa mastaa wapya ukiendelea. Nyuma ya utambulisho huo kuna sapraizi moja matata inapikwa na kinachoelezwa ni kwamba mastaa wa timu hiyo kwa sasa wanaifanyia…