
Vedastus Masinde sasa atajwa Msimbazi
BAADA ya mabosi wa JKT Tanzania kuweka ngumu juu ya upatikanaji wa beki wa kati aliyekuwa akiwindwa na Simba, Wilson Nangu inadaiwa mabosi wa Msimbazi wameanza kumpigia hesabu na kufanya mazungumzo na beki wa kati wa TMA Stars, Vedastus Masinde. Simba inapambana kunasa saini ya Nangu anayetajwa kuwa na mkataba na maafande hadi 2028, huku…