
Kocha Uganda akiri presha kuwagharimu
KOCHA wa timu ya taifa la Uganda ‘The Cranes’, Morley Byekwaso, amekiri kuwa kikosi chake kilishindwa kudhibiti presha, hali iliyowagharimu katika kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Algeria kwenye mechi ya kwanza wa Kundi C wa michuano ya CHAN 2024 iliyopigwa jijini Kampala. Katika mechi hiyo iliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Nelson Mandela, wenyeji…