
Stars ilivyozipiga bao Kenya, Uganda
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeandika ukurasa mpya kwa ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kuanza kwa kishindo michuano ya CHAN 2024, huku ikizidi kete majirani zake Kenya na Uganda waliokuwa kama wenyeji wenza wa mashindano hayo. Ilianza kwa kishindo Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, Jumamosi ya Agosti 2, wakati…