
Hukumu rufaa Kocha Katabazi dhidi ya TFF yasogezwa mbele
Hukumu ya rufaa ya Kocha Listoni Katabazi dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), kupitia bodi yake ya wadhamini, sasa kutolewa Septemba 26, 2025. Hukumu hiyo ilipangwa kutolewa leo Agosti 4,2025 na Jaji Butamo Phillip aliyesikiliza rufaa hiyo. Hata hivyo imekwama kwa kuwa Jaji Phillip aliyepaswa kuisoma hukumu hiyo hakuwepo.Badala yake imeahirishwa na…