
Samatta kucheza na Dembele, Hakimi
KWA mujibu wa tetesi za usajili nchini Ufaransa, inaelezwa mshambuliaji wa Kitanzania, Mbwana Samatta yuko kwenye hatua za mwisho kujiunga na Le Havre ya Ligi Kuu Ufaransa. Samatta ameachana na PAOK ya Ugiriki miezi michache iliyopita baada ya kuhudumu kikosini hapo kwa takribani misimu miwili akifunga mabao sita kwenye mechi 41. Mbali na Le Havre…