
Geay aula Berlin Marathon 2025
MWANARIADHA nyota wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay ni miongoni mwa mastaa 13 ambao wamepewa mwaliko wa kushiriki mbio za Berlin Marathon 2025, Ujerumani. Mbio hizo zitafanyika Septemba 21 na Geay anayeshikilia rekodi ya taifa ya mbio ndefu kwa muda wa saa 2:03:00 aliyoiweka katika Valencia Marathon miaka mitatu iliyopita atashiriki kwa mara ya kwanza….