
Isangi ataja Sababu kujiondoa Uchaguzi RT
RAIS wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Silas Isangi ameweka wazi sababu za kujiondoa katika kinyanganyiro cha kutetea kiti chake. Isangi ni miongoni mwa wagombea 20 waliokuwa katika mchakato wa usaili wa Kamati ya Uchaguzi wa RT baada ya kurejesha fomu za kugombea katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Agosti 16 mwaka huu, jijini Mwanza. Ingawa alifika…