Winga akaribia kutua Singida Black Stars

TIMU ya Singida Black Stars inakaribia kumsajili nyota wa Stand United ‘Chama la Wana’, Yusuph Khamis baada ya mabosi wa kikosi hicho kuvutiwa na uwezo wake aliouonyesha kwenye Ligi ya Championship msimu uliopita. Taarifa ambazo Mwanaspoti imezipata zinaeleza mabosi wa Singida Black Stars wanamfuatilia kwa ukaribu mchezaji huyo, ambaye msimu uliopita akiwa na Stand aliifungia…

Read More

Kagawa anukia Coastal Union | Mwanaspoti

UONGOZI wa Coastal Union unadaiwa kufikia hatua nzuri ya kuinasa saini ya aliyekuwa kiungo wa Geita Gold, Ally Ramadhan Kagawa akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na waajiri wake wa zamani. Kagawa amemaliza mkataba na Geita Gold ambayo inashiriki Ligi ya Championship na inaelezwa mazungumzo baina ya pande zote mbili yanakwenda vizuri huku muda…

Read More

Mgaboni kupishana na Mnigeria Tabora United

UONGOZI wa Tabora United uko katika mazungumzo ya kuachana na aliyekuwa kipa wa kikosi hicho, Mgaboni Jean-Noel Amonome, ikiwa ni muda mfupi tu tangu ifikie makubaliano ya kumsajili Japhet Opubo aliyetokea Lobi Stars FC ya Nigeria. Amonome aliyecheza timu za FC 105 Libreville ya kwao Gabon, AmaZulu FC, Royal Eagles na Uthongathi FC za Afrika…

Read More

Célestin Ecua atuma salamu nzito

SAA chache baada ya Célestin Ecua kutambulishwa kuwa mchezaji wa Yanga, mwenyewe ameibuka na kutuma ujumbe wenye ahadi ya kufanya vizuri zaidi kuipa mafanikio klabu hiyo ambayo msimu uliopita ilibeba mataji matano ambao ni Kombe la Toyota, Ngao ya Jamii, Kombe la Muungano, Ligi Kuu Bara na Kombe la FA. …

Read More

Ushindi wa Stars wampa Morocco matumaini kibao

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, amesema ushindi wa kwanza wa timu hiyo wa michuano ya CHAN umetoa mwanga mkubwa wa kikosi hicho kufanya vizuri zaidi. Kauli ya Morocco, inajiri baada ya timu hiyo kuanza vyema michuano ya CHAN kufuatia kuifunga Burkina Faso mabao 2-0, katika mechi ya kwanza ya ufunguzi iliyopigwa kwenye…

Read More

Fei Toto: Watanzania wamefurahi | Mwanaspoti

KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema ni fahari kwa kikosi hicho kuanza vyema fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN), baada ya  ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burkina Faso. Stars imepata ushindi huo wa mechi ya kwanza ya ufunguzi wa…

Read More