Stori ya Bocco itaisha kishikaji Simba?

HESHIMA aliyojijengea nahodha wa Simba, John Bocco tangu aanze kucheza Ligi Kuu Bara mwaka  2008 hadi 2024, inawafanya mashabiki kuyafuatilia maisha yake na kutaka kujua ukimya wake unasababishwa na kitu gani. Kwa wachezaji wa sasa, Bocco ndiye anaongoza kwa kufunga mabao 154 katika misimu 16 aliyocheza, ukiachana na mastaa wa zamani kama Mohamed Hussein ‘Mmachinga’…

Read More

Mgunda azungumzia ishu ya kumrithi Benchikha

WAKATI Juma Mgunda akihusishwa na mipango ya kurudi kuifundisha Simba kutokana na kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, kocha huyo maarufu kama ‘Guardiola Mnene’ amesema hata yeye anasikia tu kuhusu jambo hilo, lakini kama lipo kweli yeye atakuwa tayari kufanya kazi. Simba inatarajiwa kutangaza kuachana rasmi na kocha Mbelgiji mwenye asili ya Algeria, Abdelhak Benchikha, ambaye taarifa…

Read More

Thank You! Ndoa ya Benchikha na Simba yatamatika

KLABU ya Simba muda wowote kuanzia sasa itatangaza kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Mualgeria, Abdelhak Benchikha ikiwa ni siku moja tangu atwae Kombe la Muungano lililohitimishwa jana visiwani Zanzibar. Simba ilitwaa taji hilo baada ya kuifunga Azam FC bao 1-0, lililofungwa na kiungo wa kikosi hicho, Babacar Sarr katika dakika ya 77…

Read More

Simba yaifuata Namungo bila Benchikha

KIKOSI cha Simba kimewasili kutoka Zanzibar ambako kimetwaa taji la sita la Muungano na kuunganisha moja kwa moja kuifuata Namungo tayari kwa mchezo wa ligi utakaochezwa Jumanne. Lakini pia gazeti hili limepenyezewa kuwa kocha wa fitness (utimamu) pia hayupo kwenye msafara wa kikosi cha timu hiyo ikielezwa kuwa anaondoka sambamba na Benchikha ambaye alikuja naye….

Read More

Robertinho alivyomuachia gundu Benchikha | Mwanaspoti

KOCHA wa Simba, Abdelhak Benchikha, anatarajiwa kuachana na klabu hiyo leo baada ya kusimamia mechi yake ya mwisho ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika fainali ya Kombe la Muungano jana akitwaa ubingwa wa michuano hiyo kwenye Uwanja New Amaan Complex, Zanzibar. Taarifa za ndani zinasema Simba wakati wowote itatangaza kumuaga Benchikha anayeondoka…

Read More

Lala salama Championship ya jasho na damu

Ni fursa nzuri kwa Pamba kumaliza unyonge wa miaka 22 wa kukaa bila kushiriki Ligi Kuu itakapokabiliana na Mbuni FC kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha kuanzia saa 10 jioni, leo. Ushindi katika mechi hiyo utaifanya Pamba ambayo mara ya mwisho kushiriki Ligi Kuu 2002, kuchukua nafasi moja iliyobaki katika Ligi ya Championship…

Read More

Mastraika Taifa Stars wanahitaji maombi

Wakati zikibaki siku 44 kabla ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Zambia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, mwenendo wa wachezaji wa safu ya ushambuliaji ambao wamekuwa wakitegemewa na timu ya taifa ‘Taifa Stars’ umeanza kuleta hofu. Idadi kubwa ya wachezaji hao wameonyesha kupoteza makali ya kufumania nyavu katika klabu…

Read More

Kocha wa Fei Toto afariki dunia

KOCHA wa zamani wa Feisal Salum ‘Fei Toto’, Salum Khatib amefariki dunia baada ya kugongwa na gari akitokea mazoezini kuinoa timu ya JKU SC na anatarajiwa kuzikwa mchana wa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe, Zanzibar. Khatib enzi za uhai wake akiwa kocha wa timu JKU, alimfundisha kiungo wa sasa wa Azam FC, Fei Toto na…

Read More

Simba yampandia dau beki wa mpira

UKISIKIA haishi hadi iishe ndio hii. Baada ya kumkosa katika dirisha dogo la usajili la msimu huu, mabosi wa Simba wameamua kumkomalia beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi anayetajwa pia kuwindwa na Ihefu kwa kumpandia dau ili kumnasa katika dirisha lijalo. Katika dirisha dogo lililopita, Lawi alihusishwa na Simba kwenda kusaidiana na beki…

Read More

Staa wa Pamba Jiji hatihati Championship

WAKATI pazia la Ligi ya Championship likifungwa rasmi leo, kiungo mshambuliaji na kinara wa mabao wa Pamba Jiji, Haruna Chanongo huenda akakosa mchezo wa mwisho wa ligi hiyo dhidi ya Mbuni FC kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama za paja. Chanongo aliyewahi kuwika Simba, Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting, ndiye kinara wa mabao wa…

Read More