Tchakei arejesha mzuka Ihefu | Mwanaspoti

NYOTA wa Ihefu, Marouf Tchakei ameanza mazoezi mepesi na timu hiyo baada ya kukosekana kwa takriban wiki tatu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya kifundo cha mguu aliyoyapata katika mchezo wa 32 bora Kombe la Shirikisho dhidi ya KMC. Tchakei aliumia Aprili 6, mwaka huu, wakati Ihefu ilipoifunga KMC mabao 3-0, Uwanja wa Azam Complex…

Read More

Ishu ya Chama kwenda Yanga iko hivi

Kiungo wa Simba Clatous Chama anayemaliza mkataba mwishoni mwa msimu huu ametajwa kuhusisha na Yanga, zikiwa zimebaki wiki chache kabla msimu haujamalizika. Mkataba wa Chama na Simba unafikia mwisho mara baada ya msimu huu kumalizika, na inaelezwa kuwa Simba bado haijafanya maamuzi ya mwisho kama itamuongeza mkataba mpya au vinginevyo huku yeye mwenyewe akiendelea kupiga…

Read More

Lomalisa kazini kwake kuna kazi

WAKATI Yanga ikionekana kufanya vizuri na kusalia kileleni hadi sasa, lakin beki wa kushoto wa timu hiyo, Joyce Lomalisa naye kibarua chake kipo hatarini. Yanga iliyokuwa uwanjani jana jioni jijini Dar es Salaam kuvaana na Coastal Unioni ndio inayoongoza msimamo wa Ligi Kuu (kabla ya jana) ikiwa na pointi 59, ikicheza mechi 23, ikishinda 19,…

Read More

Benchikha ndo basi tena Simba, aaga wachezaji

Kocha Mkuu wa Simba,  Abdelhak Benchikha inadaiwa amemalizana na klabu hiyo baada ya kuipa Kombe la Muungano na Bodi ya Wakurugenzi imekubali uamuzi wa kocha huyo kutaka kuondoka. Benchikha alitambulishwa Simba, Novemba 28 mwaka jana akichukua nafasi ya Roberto Oliveira ‘Robertinho’ aliyefutwa kazi baada ya timu hiyo kufungwa 5-1 na Yanga katika Kariakoo Dabi ya…

Read More

Sarr aipa Simba milioni 50 za Muungano

BAADA ya kufunga bao pekee katika mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano, kiungo wa Simba Babacar Sarr ameiwezesha timu hiyo kuvuna kitita cha Sh50 milioni ambayo ni zawadi ya mshindi ya bingwa. Sarr alifunga bao hilo kwa kichwa katika dakika ya 77 akiunganisha mpira wa faulo uliopigwa  ikiwa ni matokeo ya madhambi yaliyofanywa na…

Read More

Ali Kamwe afunguka ishu nzima ya Pacome, iko hivi

NYOTA wa Yanga, Pacome Zouzoua ameanza rasmi mazoezi na timu hiyo baada ya kukosekana kutokana na majeraha ya goti aliyoyapata wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC. Katika mchezo huo uliopigwa Machi 17, mwaka huu na kushuhudia Yanga ikifungwa mabao 2-1 kwenye Uwanja Benjamin Mkapa, Pacome alishindwa kuendelea dakika ya 28…

Read More

Kurugenzi waikimbia Moro Kids ‘playoff’ First League

Morogoro. Mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya mtoano (play off) baina ya Moro Kids ya Morogoro na Kurugenzi FC ya Simiyu umeshindwa kufanyika baada ya Kurugenzi kushindwa kufika katika mchezo uliopangwa kuchezwa leo, Aprili 27 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Mchezo huo maalumu wa kutafuta timu itakayocheza First League maarufu Ligi Daraja…

Read More

Hizi ndizo tabia za Diarra, Aucho kambini Yanga

Kikosi cha Yanga jioni ya jana kilikuwa uwanjani kumalizana na Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku mastaa wa timu hiyo, Djigui Diarra, Maxi Nzengeli na Stephane Aziz KI walitarajiwa kuendeleza moto ulioifanya timu hiyo iwe tishio kwa sasa mbele ya wapinzani wanaochuana nao kuwania ubingwa. Hata hivyo, sasa unaambiwa tofauti na unavyowaona…

Read More