Straika akoleza vita Namungo | Mwanaspoti
ALIYEKUWA mshambuliaji wa timu ya vijana ya Simba, Rashid Mchelenga amekamilisha dili la kujiunga na Namungo FC kwa mkataba wa miaka miwili, akikoleza vita mpya ya eneo hilo ndani ya kikosi hicho. Mchelenga anaungana na washambuliaji wengine wapya na kuongeza vita mpya katika eneo hilo ambao ni Andrew Chamungu aliyetokea Songea United na mfungaji bora…