Pembe: Simba wasipofunga mlango, zile 5 zinarudi

MSANII wa vichekesho nchini, Yusuph Kaimu ‘Pembe’ amesema pamoja na matumaini waliyonayo mashabiki wa Yanga kushinda, lakini mastaa wanapaswa kuiheshimu Simba kwani mechi ya watani siyo kujihakikishia pointi tatu, japo akaonya: “Simba wasipofunga mlango vizuri zile tano zinarudi.”. Kauli ya msanii huyo inakuja ikiwa imebaki siku moja kushuhuhudia mchezo wa watani wa jadi kati ya…

Read More

Machupa atoa neno Kariakoo Dabi

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Athuman Machupa, ameizungumzia Kariakoo Dabi ya Aprili 20, anaiona itaamuliwa na ukomavu na mbinu za mastaa na makocha wa klabu hizo kongwe. Machupa ambaye aliichezea Simba kuanzia 1999-2011 amesema kwa uzoefu wake wa kucheza dabi nyingi, matokeo ya mechi hiyo yanakuwa ya kushangaza tofauti na matarajio ya wengi na ndio…

Read More

Arajiga wa 5-1 apewa tena Kariakoo Dabi

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii . Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 11:00 jioni, Yanga ikiwa mwenyeji. Katika mchezo huo, Mohamed Mkono kutoka Tanga…

Read More

Pingamizi Mwakinyo latupiliwa mbali | Mwanaspoti

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana Alhamisi imefanya uamuzi mdogo wa kutupilia mbali pingamizi lililoweka na bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo katika kesi ya madai inayomkabili dhidi ya Kampuni ya Promosheni ya Ngumi za Kulipwa, Paf Promotion. Pingamizi hilo lililosikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Amiri Msumi lilitupiliwa …

Read More

Mapacha Singida Black Stars, Singida FG sare kila kitu

LIGI Kuu Bara imeendelea tena leo kwa mchezo mmoja kupigwa ambapo wenyeji Ihefu (Singida Black Stars) wameshindwa katamba kwenye Uwanja wa Liti mjini Singida baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 ma ndugu zao Singida Fountain Gate katika dabi yao mpya. Matokeo hayo yamezifanya timu hizo zilingane takribani kila kitu katika msimamo, isipokuwa mabao…

Read More

Tiketi ya Pamba kurejea Ligi Kuu iko Arusha

Pamba Jiji FC inakabiliwa na mechi mbili za Ligi ya Championship ugenini mkoani Arusha ambazo ni lazima kushinda zote ili kurejea tena Ligi Kuu Bara baada ya kushuka daraja zaidi ya miaka 20 iliyopita. Timu hiyo inashika nafasi ya pili kwa alama 61 tofauti ya alama tatu dhidi ya kinara Ken Gold FC yenye alama…

Read More

Baba Sure Boy auweka mpira kati Kariakoo Dabi

Abubakar Salum ‘Sure Boy Sr’ ambaye ni baba mzazi wa kiungo wa Yanga, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, amesema Kariakoo Dabi haijawahi kutabirika, haijalishi ni timu gani inakuwa kwenye kiwango kizuri kwa wakati huo. Mkongwe huyo aliyewahi kuichezea Yanga SC, amesema kwenye makaratasi Yanga imeonyesha kiwango cha juu kwenye mechi mbalimbali, lakini hilo halitoshi kuona ni…

Read More