Nabi, Robertinho walivyoitabiri Dabi | Mwanaspoti

JUMAMOSI ni Dabi. Yanga ambayo ndio wenyeji wa mchezo huu,misimu miwili nyuma ilikuwa ikiongozwa na kocha Nasreddine Nabi kabla ya kuja kwa Miguel Gamondi na kuacha rekodi kubwa ya kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho msimu uliopita na kutwaa taji la FA na Ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita. Kuelekea katika mtanange huo wa…

Read More

Acha inyeshe tujue panapovuja Dabi ya Kariakoo

PRESHA ya mchezo wa ‘Kariakoo Dabi’ kwa mashabiki wa Yanga na Simba nchini tayari imeanza kupanda wakati ikibakia siku moja tu kwa miamba hiyo kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kesho Jumamosi kuisaka heshima baina yao. Kitendawili cha nani mbabe kitateguliwa Jumamosi hii ingawa Yanga inaingia katika mchezo huo ikiwa na morali kubwa hasa baada…

Read More

Hawa wanaweza kuwa sapraizi | Mwanaspoti

Mwisho wa tambo kwa mashabiki wa Yanga na Simba ambao kila mmoja anavutia ushindi upande wake ni Jumamosi kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa ambapo hii itakuwa ni nafasi kwa Mnyama kulipiza kisasi cha mzunguko wa kwanza au Wananchi kuendeleza ubabe katika mchezo huo wa dabi. Tofauti na ilivyokuwa katika mchezo wa mzunguko wa kwanza, Simba…

Read More

Liverpool, West Ham zafuata njia ya Arsenal, Man City

LONDON, ENGLAND. LIVERPOOL na West Ham United zimetolewa katika michuano ya Europa League, baada ya kushindwa kupindua meza katika michezo ya mkondo wa pili. West Ham United vs Bayer Leverkusen Liverpool ambayo ilichapwa bao 3-0 na Atalanta, Alhamisi  wiki iliyopita uwanjani Anfield imeibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa marudiano, lakini haujaisaidia. Bao…

Read More

Fahamu njia sahihi ya kuacha pombe kiafya

Dar es Salaam. Ni uchungu kwa ndugu pale mpendwa wao anapoangukia kwenye unywaji wa pombe wa kupindukia. Mara nyingi hufanya jitihada za kusaidia na wengine kuhangaika kwa waganga wa kienyeji kutafuta dawa ya kukabiliana na hali hiyo. Wachungaji hufanya maombi huku wengine wakiwekewa dawa za kutapika ili waachane na ulevi. Hata hivyo, mara nyingi tunaambiwa…

Read More

Pembe: Simba wasipofunga mlango, zile 5 zinarudi

MSANII wa vichekesho nchini, Yusuph Kaimu ‘Pembe’ amesema pamoja na matumaini waliyonayo mashabiki wa Yanga kushinda, lakini mastaa wanapaswa kuiheshimu Simba kwani mechi ya watani siyo kujihakikishia pointi tatu, japo akaonya: “Simba wasipofunga mlango vizuri zile tano zinarudi.”. Kauli ya msanii huyo inakuja ikiwa imebaki siku moja kushuhuhudia mchezo wa watani wa jadi kati ya…

Read More

Machupa atoa neno Kariakoo Dabi

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Athuman Machupa, ameizungumzia Kariakoo Dabi ya Aprili 20, anaiona itaamuliwa na ukomavu na mbinu za mastaa na makocha wa klabu hizo kongwe. Machupa ambaye aliichezea Simba kuanzia 1999-2011 amesema kwa uzoefu wake wa kucheza dabi nyingi, matokeo ya mechi hiyo yanakuwa ya kushangaza tofauti na matarajio ya wengi na ndio…

Read More

Arajiga wa 5-1 apewa tena Kariakoo Dabi

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii . Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 11:00 jioni, Yanga ikiwa mwenyeji. Katika mchezo huo, Mohamed Mkono kutoka Tanga…

Read More