Liverpool, West Ham zafuata njia ya Arsenal, Man City

LONDON, ENGLAND. LIVERPOOL na West Ham United zimetolewa katika michuano ya Europa League, baada ya kushindwa kupindua meza katika michezo ya mkondo wa pili. West Ham United vs Bayer Leverkusen Liverpool ambayo ilichapwa bao 3-0 na Atalanta, Alhamisi  wiki iliyopita uwanjani Anfield imeibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa marudiano, lakini haujaisaidia. Bao…

Read More

Fahamu njia sahihi ya kuacha pombe kiafya

Dar es Salaam. Ni uchungu kwa ndugu pale mpendwa wao anapoangukia kwenye unywaji wa pombe wa kupindukia. Mara nyingi hufanya jitihada za kusaidia na wengine kuhangaika kwa waganga wa kienyeji kutafuta dawa ya kukabiliana na hali hiyo. Wachungaji hufanya maombi huku wengine wakiwekewa dawa za kutapika ili waachane na ulevi. Hata hivyo, mara nyingi tunaambiwa…

Read More

Pembe: Simba wasipofunga mlango, zile 5 zinarudi

MSANII wa vichekesho nchini, Yusuph Kaimu ‘Pembe’ amesema pamoja na matumaini waliyonayo mashabiki wa Yanga kushinda, lakini mastaa wanapaswa kuiheshimu Simba kwani mechi ya watani siyo kujihakikishia pointi tatu, japo akaonya: “Simba wasipofunga mlango vizuri zile tano zinarudi.”. Kauli ya msanii huyo inakuja ikiwa imebaki siku moja kushuhuhudia mchezo wa watani wa jadi kati ya…

Read More

Machupa atoa neno Kariakoo Dabi

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Athuman Machupa, ameizungumzia Kariakoo Dabi ya Aprili 20, anaiona itaamuliwa na ukomavu na mbinu za mastaa na makocha wa klabu hizo kongwe. Machupa ambaye aliichezea Simba kuanzia 1999-2011 amesema kwa uzoefu wake wa kucheza dabi nyingi, matokeo ya mechi hiyo yanakuwa ya kushangaza tofauti na matarajio ya wengi na ndio…

Read More

Arajiga wa 5-1 apewa tena Kariakoo Dabi

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii . Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 11:00 jioni, Yanga ikiwa mwenyeji. Katika mchezo huo, Mohamed Mkono kutoka Tanga…

Read More

Pingamizi Mwakinyo latupiliwa mbali | Mwanaspoti

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana Alhamisi imefanya uamuzi mdogo wa kutupilia mbali pingamizi lililoweka na bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo katika kesi ya madai inayomkabili dhidi ya Kampuni ya Promosheni ya Ngumi za Kulipwa, Paf Promotion. Pingamizi hilo lililosikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Amiri Msumi lilitupiliwa …

Read More

Mapacha Singida Black Stars, Singida FG sare kila kitu

LIGI Kuu Bara imeendelea tena leo kwa mchezo mmoja kupigwa ambapo wenyeji Ihefu (Singida Black Stars) wameshindwa katamba kwenye Uwanja wa Liti mjini Singida baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 ma ndugu zao Singida Fountain Gate katika dabi yao mpya. Matokeo hayo yamezifanya timu hizo zilingane takribani kila kitu katika msimamo, isipokuwa mabao…

Read More