Toldo ameibeba Madagascar mabegani | Mwanaspoti
KIPA mkongwe wa Madagascar, Ramandimbisoa Lalain’arijaka Michel ‘Toldo’, amekuwa sehemu ya mafanikio ya taifa hilo baada ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024. Toldo, mwenye umri wa miaka 39 na anayekipiga klabu ya Elgeco Plus, mabingwa wa Ligi Kuu ya Madagascar na Kombe la…