Coastal, Azam nusu fainali ya kibabe FA

KESHO mchezo wa nusu fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho utachezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kati ya Coastal Union dhidi ya Azam FC, huku vita kubwa ikiwa ni kusaka nafasi ya kucheza Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao. Azam FC inakamata nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 60…

Read More

Yanga yaitisha Simba kwa Inonga, mkanda mzima upo hivi

HENOCK Inonga ameomba udhuru aende Ufaransa kupumzika, lakini kuna machale yanawacheza viongozi wa Simba juu ya uamuzi wa beki huyo kufosi kuondoka hasa wakikumbuka awali kabla ya kutua Msimbazi ilibaki kidogo atue Jangwani. Mkongomani huyo ameomba kuondoka licha ya kwamba ana mkataba wa mwaka mmoja huku klabu inayohusishwa nae ikiwa ni FAR Rabat ya Morocco,…

Read More

NYUMA YA PAZIA: Mbappe na karatasi zake za ushahidi, kuna maswali?

“..USHAHIDI upi mwingine unahitaji?” Hakusema mdomoni. Moyo wake ulikuwa unaongea. Asingeweza kutamka hivyo mdomoni wakati akirekodi video yake ya kuaga. Kylian Mbappe. Amewaaga PSG mapema wiki hii. Anaondoka zake PSG. Lilikuwa suala la muda tu. Alionekana mtulivu wakati akiaga. Mara ya mwisho serikali ya Ufaransa iliingilia kati kuondoka kwake. Alipoamua kubaki ikawa sherehe kwa Wafaransa….

Read More

JELLAH: Nahodha Stars aliyeteseka kwa miaka 20 kitandani

NGULI wa zamani wa Taifa Stars, Jella Mtagwa alifariki dunia juzi jijini Dar es Salaam baada ya kuteseka kitandani kwa miaka 20. Tunarudia sehemu ya mahojiano yake na Mwanaspoti akiwa kitandani nyumbani kwake Mei 27, 2019. “Acheni Mungu aitwe Mungu.” Hiyo ni kauli ya aliyekuwa nahodha wa Taifa Stars, Mtagwa iliyoshiriki fainali za Kombe la…

Read More

JKT wababe, Tausi wanapiga hao

BAADA ya JKT kuifunga Vijana ‘City Bulls’ kwa pointi 70-55, kocha wa timu hiyo, Chris Weba amesema pointi 25-13 walizopata katika robo ya tatu, ndizo zilizowapa ushindi. Mchezo huo uliokuwa unasubiriwa na mashabiki wengi wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam, ulipigwa kwenye Uwanja wa Donbosco Oster bay. Akiuzungumzia mchezo huo, alisema ulikuwa…

Read More

Watoto Kigoma wanogewa na kikapu

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Kigoma, Aq Qassim Anasi amesema idadi ya watoto wanaojifunza mchezo huo imeongezeka. Akizungumza na Mwanaspoti kwa njia ya simu kutoka Kigoima, katibu huyo alisema mafunzo hayo yamekuwa yakitolewa mara mbili kwa wiki, Jumamosi na Jumapili na wazazi wamekuwa wakiwaruhusu watoto kuja kushiriki katika Uwanja wa…

Read More

Kuziona Yanga, Ihefu buku kumi tu

WAKATI homa ya mchezo wa nusu fainali ya pili ya Kombe la FA kati ya Yanga dhidi ya Ihefu FC ikizidi kupanda, kiingilio katika mchezo huo imetajwa ni Sh10,000. Mchezo huo unaotazamiwa kuwa na upinzani mkali na kusisimua kutokana na ubora wa timu zote, utapigwa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha na kiingilio…

Read More

Siri ubora wa Guede | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Joseph Guede amezungumzia mambo manne yaliyomrejesha kwenye fomu haraka, huku akiweka wazi mipango yake msimu ujao. Guede aliyetua Jangwani katika dirisha dogo la usajili lililopita, awali alionekana kuwa na mwanzo mgumu katika kikosi cha kocha Miguel Gamondi, lakini kadri muda unasonga ameonekana kubadili upepo kiasi cha kuwazidi kete mastraika Clement Mzize na…

Read More