Mbangula naye anajishangaa | Mwanaspoti
WAKATI wadau na mashabiki wakijiuliza kasi ya straika wa Tanzania Prisons, Samson Mbangula kupungua, mwenyewe amesema naye anashangaa kwanini hafungi tangu alipoifunga Simba. Mbangula alikuwa na muendelezo mzuri wa kufunga mabao lakini tangu amefunga mabao mawili dhidi ya Simba, Machi 6 mwaka huu wakati Tanzania Prisons iliposhinda 2-1, hajaingia tena wavuni. Staa huyo ambaye ni…