Mandonga atamba na ngumi kusanyakusanya Tabora

BONDIA machachari wa ngumi za kulipwa nchini  Kareem Mandonga  sambamba na wenzao wamepimwa uzito leo kwa ajili ya mapambano yatakayofanyika kesho Jumamosi, huku bondia huyo akitamba na ngumi mpya iitwayo ‘Kusanyakusanya’. Mandonga na wenzao wanatarajia kupigana kesho usiku katika  ‘Usiku wa Mabingwa wa Tabora’ ambapo Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Upendo Belti Wella kwa niaba…

Read More