Maxime: Tchakei, Abuya acha kabisa

WAKATI Ihefu ikishusha presha katika vita ya kushuka daraja, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime ameelezea siri ya kiwango cha nyota wake Marouf Tchakei na Duke Abuya. Wawili hao wamekuwa bora uwanjani na kuchagiza matokeo mazuri kwa timu hiyo, wakihusika katika jumla ya mabao 15 kwenye michezo yote ya mashindano yote ya timu hiyo….

Read More

Tatizo Prisons hili hapa, Mashujaa kazi ipo

KICHAPO cha bao 1-0 walichopata Tanzania Prisons juzi dhidi ya Ihefu, kimemuamsha Kocha Mkuu wa timu hiyo, Ahmad Ally akitaja sababu tatu zilizowanyima ushindi kwenye mchezo huo. Prisons ikicheza nyumbani juzi ilifikisha mchezo wa nane mfululizo bila kushinda ikiwa ni kupoteza miwili dhidi ya Ihefu na Mtibwa Sugar na sare sita na kuwa nafasi ya…

Read More

Kisa Wydad, Ayoub aandaliwa miaka miwili Simba

UBORA aliouonyesha kipa wa Simba, Ayoub Lakred kwenye mechi alizocheza tangu atue umewakuna vigogo wa timu hiyo ambao wamepanga kumpa mkataba mpya utakaomfanya abaki kwa miaka miwili na kuzuia dili la kujiunga na Wydad Casablanca ya nchini kwao. Ayoub alitua Simba mwanzoni mwa msimu huu kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea katika Klabu ya FAR…

Read More

Safari ya Yanga hadi kubeba ubingwa 2023/2024

YANGA imejihakikishia ubingwa jana baada ya kuichapa Mtibwa Sugar na kujikusanyia taji la 30 kihistoria la Ligi Kuu Bara lakini msimu huu ikiwa na rekodi hizi za kuvutia msimu huu unaoelekea ukingoni. Ilianza kwa kupoteza Ngao Yanga iliuanza msimu kwa mshtuko baada ya kupoteza taji la kwanza mapema tu kwenye mechi za ngao ya jamii …

Read More

Tumejiandaa vipi kuufunga mlango wa Fei na Dube

NILILIONA pengo la Prince Dube katika pambano la Azam dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam Alhamisi jioni halafu baadaye ikawa usiku. Azam walikosa mabao kadhaa ya wazi katika pambano hilo. Dube alikuwa wapi? sijui. Mara ya mwisho nilikutana naye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dar es salaam. wote tulikuwa…

Read More

YANGA SC YANYAKUA UBINGWA WA 30 LIGI KUU TANZANIA BARA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KLABU ya Yanga imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu Tanzania bara maalufu NBC Premier league mara baada ya kujikusanyia pointi 72 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwa mechi zilizosalia ligi kumalizika. Yanga Sc imefikisha pointi hizo mara baada ya kuichapa Mtibwa Sugar 3-1 kwenye mchezo ambao ulipigwa kwenye…

Read More

Gamondi anusurika, waamuzi wafungiwa | Mwanaspoti

Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amepishana na adhabu ya kifungo baada ya kupigwa faini ya Sh2 milioni kwa kosa la kufanya vurugu ikiwemo kuwashambulia kwa maneno makali waamuzi wa mchezo dhidi ya Kagera Sugar adhabu iliyotolewa na Kamati ya Uendeshwaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi. Adhabu hiyo itashusha presha kwa viongozi na…

Read More

Tchakei aibeba Singida kwa Prisons Ligi Kuu

Bao la kichwa la dakika ya 50 lililofungwa na kiungo mshambuliaji Marouf Tchakei limetosha kuihakikishia Ihefu SC ushindi muhimu ugenini dhidi ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Tchakei amefunga bao hilo akitumia krosi ndefu ya kiungo mwenzake, Duke Abuya  likiwa bao lake la kwanza tangu arejee akitokea katika majeruhi. Matokeo hayo ya…

Read More

Machupa: Simba ya 1999 inaweza kujirudia

WAKATI Simba ikikosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa tatu mfululizo, mshambuliaji wa zamani wa Simba, Athuman Machupa ameitaka usajili ujao kuongeza nguvu eneo la ushambuliaji, kiungo na beki wa kati kwa kutafuta wachezaji bora watakaoisaidia kubeba ubingwa. Machupa ambaye amestaafu soka la ushindani, amesema kati ya mwaka 1999 hadi 2007 Simba ilisuka…

Read More