African Sports warejea Championship | Mwanaspoti
Tanga. TIMU za African Sports ‘Wanakimanumanu’ na Kiluvya zimefanikiwa kupanda Ligi ya Championship baada ya kutinga fainali ya First League (zamani Ligi Daraja la Pili), ambapo kesho, Jumamosi zitakutana kwenye mchezo wa fainali utakaopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ili kutafuta bingwa wa ligi hiyo msimu huu. Kiluvya imefika hatua hiyo kwa mikwaju ya penalti 5-3…