Mtibwa bado wanaitaka Ligi Kuu
HAIJAISHA hadi iishe ndiyo kauli wanayoishi nayo timu ya Mtibwa Sugar huku matumaini yao makubwa yakiwa ni kwamba msimu ujao wataendelea tena kukiwasha Ligi Kuu ya NBC licha ya kwamba hivi sasa wana hali mbaya. Timu hiyo yenye maskani yake Turiani mkoani Morogoro, imepata matumaini hayo baada ya leo Mei 9, 2024 kuibuka na ushindi…