Mashujaa yalipa kisasi, yaandika rekodi

MASHUJAA FC wamefanikiwa kulipa kisasi mbele ya KMC FC baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma. Mchezo huo wa mzunguko wa pili, Mashujaa FC imetakata nyumbani kupitia mabao ya Jeremanus Josephat dakika 12, Hassan Cheda (dk 22) na Reliants Lusajo…

Read More

Lawi rasmi ni Mnyama, mkanda mzima upo hivi!

DILI LIMEKAMILIKA: Ndivyo ilivyo baada ya klabu ya Simba kumsajili beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi kwa  mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao. Lawi ambaye anamudu kucheza beki wa kati ataungana na Che Malone kucheza eneo hilo baada ya Henock Inonga na Keneddy Juma kutajwa kuondoka ndani…

Read More

Simba yatoa masharti mazito kwa Kibu, Mwamyeto

LAZIMA yafanyike maamuzi magumu. Simba wamemwambia wakala wa mastaa wawili Bakari Nondo Mwamnyeto na Kibu Denis achague moja au akose yote. Ambakishe Kibu pale Simba ili wamnunue Nondo kwa pesa nzuri au amuachie Kibu aende Yanga na wao Simba wamnunue Nondo kwa pesa ya chini. Sasa hapo ndipo wakala huyo wa wachezaji hao, Carlos Slyvester…

Read More

RAIS DK.HUSSEIN MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA MUASISI WA UWT ZANZIBAR MAREHEMU ASHA SIMBA MAKWEGA GOZA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi na Viongozi mbalimbali katika Sala ya Maiti ya Marehemu Asha Simba Makwega Muasisi wa UWT pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sala hiyo iliyoongozwa na Mufti…

Read More

Lawi rasmi ni Mnyama | Mwanaspoti

DILI LIMEKAMILIKA: Ndivyo ilivyo baada ya klabu ya Simba kumsajili beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi kwa  mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao. Lawi ambaye anamudu kucheza beki wa kati ataungana na Che Malone kucheza eneo hilo baada ya Henock Inonga na Keneddy Juma kutajwa kuondoka ndani…

Read More

Refa Msudani kuamua Azam vs Simba, viungo kuibeba mechi

ITAKUWAJE? Ndilo swali linalogonga vichwa vya mashabiki wa soka nchini kuhusu kukosekana kwa mshambuliaji wa Azam FC Mzimbambwe Prince Dube katika mechi ya leo ambayo wakali hao wa Chamazi watakuwa wenyeji uwanja wa Benjamin Mkapa kuikaribisha Simba ambayo Dube ameifunga katika mechi nne zilizopita mfululizo kabla ya kujiweka kando na timu hiyo. Mgongano wa maslahi…

Read More

Ngoma aipa masharti Simba | Mwanaspoti

KIUNGO mkabaji wa Simba, Fabrice Ngoma amewapa masharti uongozi wa klabu hiyo, kama wanataka aendelee kusalia kikosini hapo, wasajili wachezaji wenye moyo wa kuipambania timu. Hivi karibuni kulikuwepo na tetesi za staa huyo kuletewa ofa na Pyramid, Al Alhy na Raja Casablanca, ila alitaka maombi hayo yapelekwe kwa uongozi wa Simba, kutokana na kuwa na…

Read More

Copco yashinda, yasaka  sare kubaki Championship

Mwanza. COPCO FC imeanza kwa ushindi nyumbani ili kubaki Ligi ya Championship kwa kuifunga Stand United ‘Chama la Wana’ mabao 2-0 huku ikihitaji sare katika mchezo wa marudiano ili kubaki kwenye ligi hiyo msimu ujao. Mchezo huo wa mtoano (playoff) kusaka nafasi ya kubaki Ligi ya Championship umechezwa leo Mei 8, 2024 katika Uwanja wa…

Read More

Maswali matano mwisho wa Inonga Simba

MKATABA wa beki wa Simba, Henock Inonga unamalizika mwisho wa msimu huu. Tayari ameshaitumikia Simba misimu miwili na kuonyesha kiwango bora ingawa kimekuwa kikilalamikiwa na mashabiki wa siku za karibuni. Beki huyo wa zamani wa FC Renaissance na DC Motema Pembe za DR Congo amekuwa akihusishwa pia na timu mbalimbali zikiwamo za Afrika Kaskazini hasa…

Read More