Refa wa Mamelodi, Yanga apewa fainali Ligi ya Mabingwa Afrika
Refa Beida Dahane ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika kusimamia teknolojia ya video ya usaidizi kwa marefa (VAR) katika mechi ya kwanza ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Esperance na Al Ahly itakayochezwa Tunis, Tunisia, Mei 18. Jina la Dahane limekuwa maarufu nchini tangu alipochezesha mechi ya marudiano baina ya…