Aziz Ki kamuacha mbali Fei Toto
Achana na vita ya ufungaji bora iliyopo baina ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC na Stephane Aziz Ki wa Yanga, lakini kiungo huyo wa Yanga amejijengea ufalme wake kwenye tuzo za mchezaji bora wa mwezi. Viungo hao wawili wapo kwenye vita kali ya kuwania tuzo ya mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara, huku…