Mbeya City yashtuka, kumkalia kikao Mayanga

Baada ya kumalizika kwa Championship, uongozi wa Mbeya City umekiri kutofikia malengo ukiahidi kujipanga upya kwa ajili ya msimu ujao, huku ishu ya benchi la ufundi ikisubiri kikao cha bodi. City iliyoshuka daraja msimu wa 2022/23, imemaliza Championship nafasi ya sita kwa pointi 37, huku ikiongozwa na Salum Mayanga ambapo matarajio yao yalikuwa ni kurejea…

Read More

Ken Gold yaanza kusaka kocha mpya, yapokea CV kibao

Wakati idadi ya makocha wanaoomba kibarua Ken Gold ikizidi kuongezeka, uongozi wa timu hiyo umesema mbali na vigezo vya elimu, unataka kocha mwenye historia ya matokeo mazuri. Ken Gold ya wilayani Chunya mkoani Mbeya inatarajia kushiriki Ligi Kuu msimu ujao baada ya kupanda daraja na kumaliza Championship ikiwa kinara kwa pointi 70 ikifuatiwa na Pamba…

Read More

Sababu za mastaa kutoboa soksi

Kumekuwa na mabadiliko mengi ya mavazi kwa wacheza soka duniani kote, lakini hili la kutoboa soksi nyuma linaonekana kuwashangaza mashabiki wengi. Hivi karibuni umezuka mtindo wa wachezaji mastaa duniani kutoboa au kuchana soksi kwenye kigimbi cha mguu hali ambayo imeanza kuzoeleka na kuwa kama kitu cha kawaida. Kwenye Ligi Kuu ya NBC, kuna kundi kubwa…

Read More

Ligi Kuu Bara ni vita ya nafasi

LIGI Kuu Bara inaendelea tena leo Jumatatu kwa timu nane kusaka pointi tatu na michezo minne itapigwa viwanja mbalimbali. Mchezo wa mapema saa 8:00 mchana utazikutanisha Ihefu iliyokuwa nafasi ya 12 na pointi 25 kwenye Uwanja wa Liti, Singida dhidi ya Namungo ya Lindi iliyopo nafasi ya 11 na pointi 27 baada ya zote kucheza…

Read More

Hersi afuata vyuma vipya Congo

Yanga imeanza kwa kasi mbio za usajili na safari hii haitaki kuambiwa, inapanda mwewe kujionea yenyewe ubora wa mastaa inaowataka, yaani kisasa zaidi na unavyosoma gazeti hili Rais wa klabu hiyo, Hersi Said yupo jijini Lubumbashi, DR Congo akiwafuata mastaa wawili wapya. Tuanze na juzi. Hersi alikuwa Uwanja wa Kibasa Maliba akitazama mchezo wa Ligi…

Read More

Hersi afuata vyuma kvipya Congo

Yanga imeanza kwa kasi mbio za usajili na safari hii haitaki kuambiwa, inapanda mwewe kujionea yenyewe ubora wa mastaa inaowataka, yaani kisasa zaidi na unavyosoma gazeti hili Rais wa klabu hiyo, Hersi Said yupo jijini Lubumbashi, DR Congo akiwafuata mastaa wawili wapya. Tuanze na juzi. Hersi alikuwa Uwanja wa Kibasa Maliba akitazama mchezo wa Ligi…

Read More

Mgunda: No Chama, No problem

WAKATI mabadiliko ya kikosi cha Simba katika michezo miwili iliyopita ya ligi yakianza kuwavutia baadhi ya wadau na mashabiki wa timu hiyo, kaimu kocha mkuu wa wekundu hao wa Msimbazi, Juma Mgunda anaamini wanaweza kufanya makubwa zaidi katika michezo saba iliyosalia kabla ya msimu 2023/24 kumalizika bila ya uwepo wa baadhi ya mastaa akiwemo Clatous…

Read More