
Straika Simba anukia Mbeya City
Mbeya City imetuma maombi ya kumuhitaji mshambuliaji wa Simba, Valentino Mashaka baada ya nyota huyo kushindwa kupenya katika kikosi cha kwanza, mbele ya washambuliaji wenzake kikosini humo, Leonel Ateba na Steven Dese Mukwala. Mashaka aliyejiunga na Simba Julai 5, 2024 akitokea Geita Gold, ameshindwa kuingia moja kwa moja katika kikosi cha timu hiyo chini ya…