Sakata la Kibu kugomea mkataba udalali watajwa

Habari ya mjini kwa sasa ni kuhusu Kibu Denis ‘Mkandaji’. Ni kiungo mshambuliaji wa Simba anayemaliza mkataba wake kwa Wekundu wa Msimbazi hao na ameziingiza timu hizo kwenye vita kubwa na picha lake linatisha. Simba inataka kumwongezea mkataba. Yanga inataka kumhamishia kwa Wananchi. Ihefu nao wamemwambia aachane na timu za Kariakoo aendee akatulie mkoani na…

Read More

Mgunda aanza kuhesabu, Simba ikibakisha nne

KAIMU kocha mkuu wa Simba, Juma Mgunda amepata ushindi wake wa kwanza na mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wake wa pili wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Mgunda alianza kwa sare ya mabao 2-2 akiwa Ruangwa mkoani Lindi mbele ya Namungo katika mchezo wake…

Read More

Bodi ya Ligi: Tumechukua  tahadhari Kimbunga Hidaya

MWANDISHI WETUBODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imesema imechukua tahadhari muhimu juu ya tishio la kimbunga kinachoendelea kinachojulikana kwa jina la Hidaya. Ofisa Habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kufuatia taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) juu ya tishio la kimbunga hicho kwa upande wao wamechukua hatua kuhakikisha mechi zinazoendelea zinachezwa kwa usalama…

Read More

Zahera: Matampi ilibaki kidogo acheze Yanga

Kipa wa Yanga Djigui Diarra amepata mshindani wa maana kwenye vita ya ‘cleansheet’ kwenye ligi ambaye ni kipa wa Coastal Union, Ley Matampi, ambaye ni gumzo kwa sasa kutokana na kazi bora. Sasa kocha aliyemleta nchini Mwinyi Zahera amesimulia sakata la usajili wake. Kocha huyo ambaye kabla ya kutua Namungo alitokea Coastal Union anasema; “Tulipokuwa…

Read More

Kibu nje Simba ikiivaa Mtibwa Sugar

YUKO wapi Kibu Denis? Hilo ndilo swali ambalo mashabiki wa Simba wanajiuliza baada ya kuuwekwa wazi kikosi chao ambacho kitacheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar muda huu. Uvumi wa Kibu kuhusishwa na Yanga ndio sababu iliyowafanya mashabiki hao kuhoji kuhusu mshambuliaji huyo hapa Chamazi, kwenye Uwanja wa Azam Complex. Mashabiki hao…

Read More

Makocha hawa watajwa kumrithi Benchikha Simba

BAADA ya kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, timu ya Simba fasta imeanza mchakato wa kutafuta kocha mpya atakayerithi mikoba ya Mualgeria huyo ikipanga kukamilisha ishu hiyo kabla ya msimu huu kumalizika Mei 28, 2024. Kocha wa TP Mazembe, Lamine Ndiaye Mabosi wa Simba walikaa kikao baada ya kuondoka kwa Benchikha aliyesepa na wasaidizi wake Farid Zemit…

Read More

Yanga yapokea ofa mbili za Mzize Ulaya

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kupokea ofa kutoka katika timu za Ulaya ambazo zinataka kumnunua mshambuliaji Clement Mzize.  Ingawa hakuwa tayari kuzitaja timu ambazo zinamtaka mchezaji huyo, lakini Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema mbali na Azam FC wamepokea ofa kutoka timu ambayo inashiriki Ligi Kuu Russia na nyingine ya Israel.  “Ni kweli…

Read More

Mpina: Natimiza wajibu, sikwenda bungeni kucheza disko na mawaziri

Simiyu. Mbunge wa Jimbo la Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amewajibu wanasiasa wanaosema hakuna maendeleo aliyofanya katika jimbo lake badala yake amesema  yeye hakutumwa bungeni “kucheza disco na mawaziri bali kufanya kazi”. Amewaonya wote wanaopambana naye kwamba wataishia kudhalilika kwa kuwa hawezi kucheka na waziri ambaye hatekelezi majukumu yake ipasavyo. Mpina ametoa kauli hiyo leo Mei…

Read More

Guede alivyopindua meza ya usajili Yanga

MABAO manane yametosha kubadili sehemu ya usajili wa Yanga baada ya mabosi wa timu hiyo kushtuka kwamba mshambuliaji Joseph Guede ana kitu miguuni na kichwani, na sasa ni miongoni mwa mastaa wanaobaki Jangwani. Awali, Guede alionekana kuwa na mwanzo mgumu katika kikosi cha kocha Miguel Gamondi, lakini kadri muda unavyokwenda ameonekana kubadili upepo wa mambo…

Read More