Taifa Stars yaishia njiani kama Kenya

Tanzania imeungana na Kenya zikiwa nchi wenyeji kutupwa nje ya fainali za Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Morocco kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Bao la dakika ya 63 likifungwa na mshambuliaji Oussama Lamlioui akipokea pasi ya kiungo Youssef Belammari limetosha kusitisha matumaini ya…

Read More

Kenya yatupwa nje CHAN 2024

TIMU ya Taifa la Madagsacar imeweka rekodi kwa kuwa ya kwanza kutinga nusu fainali ya michuano ya CHAN 2024 baada ya kuifunga Kenya ‘Harambee Stars’ kwa mikwaju ya penalti 4-3 baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ndani ya dakika 120 kwenye Uwanja wa Kimataifa wa michezo wa Moi, Nairobi. Kenya ilianza mechi hiyo kwa…

Read More

Mboni Masimba amrudisha jukwaani Bi Mwanahawa Ally 

Mkurugenzi wa Kampuni ya Chocolate Princess,Mboni Masimba, amemrudisha jukwaani mkongwe wa Taarabu nchini, Mwanahawa Ally aliyetangaza kustaafu kuimba mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mboni amesema,  anatarajia kufanya tamasha la mkesha wa muziki wa taarabu litakalohusisha wakali wasanii wa muziki huo nchini akiwemo Mwanahawa Ally, Agosti 28 kwenye Viwanja vya…

Read More

Mandonga atamba na ngumi kusanyakusanya Tabora

BONDIA machachari wa ngumi za kulipwa nchini  Kareem Mandonga  sambamba na wenzao wamepimwa uzito leo kwa ajili ya mapambano yatakayofanyika kesho Jumamosi, huku bondia huyo akitamba na ngumi mpya iitwayo ‘Kusanyakusanya’. Mandonga na wenzao wanatarajia kupigana kesho usiku katika  ‘Usiku wa Mabingwa wa Tabora’ ambapo Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Upendo Belti Wella kwa niaba…

Read More