Simba ilistahili kubeba ndoo ya Muungano
SIMBA ndio mabingwa wapya wa michuano ya Kombe la Muungano, iliyoshirikisha timu nne zikiwamo Azam, KMKM na KVZ. Michuano hiyo ilifikia tamati rasmi juzi visiwani Zanzibar, kwa Simba kuifunga Azam kwa bao 1-0 katika pambano la fainali lililopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan kwa bao la dakika ya 77 kutoka kwa kiungo mkabaji, Babacar Sarr….