Mbolea chanzo cha mgogoro USM Alger, RS Berkane
UNAWEZA kuona kwa jicho la kisiasa mgogoro uliopelekea mechi ya pili ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya RS Berkane na USM Alger kutochezwa jana kama ilivyokuwa kwa mechi ya kwanza lakini nyuma yake kuna sababu za kiulinzi na pia kiuchumi. Sababu ya USM Alger kugomea mechi kwa vile RS Berkane walitaka…