Guede aiua Coastal Chamazi, safari ya ubingwa yashika kasi
BAO pekee la mshambuliaji, Joseph Guede la dakika ya 76 limetosha kuipa Yanga pointi tatu muhimu dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, jijini Dar es Salaam. Guede anayefikisha jumla ya mabao manne ya Ligi Kuu Bara akiwa na kikosi hicho, ameifanya Yanga kufikisha pointi…