Championship mwuisho wa ubishi ni kesho

Pazia la Ligi ya Championship msimu huu linafungwa kesho Jumapili huku utamu utakuwa jijini Arusha wakati Pamba itakaposaka nafasi ya kuzika mzimu ulioitesa kwa zaidi ya miaka 20 kutopanda Ligi Kuu. Ligi hiyo iliyoanza Septemba 9 ikishirikisha timu 16 inafika tamati huku Ken Gold ikiwa imepanda Ligi Kuu na pointi 67 ikiwa na mechi moja,…

Read More

Prince Dube aishi kifahari dar, aiponza Yanga

MWANASPOTI linajua vigogo walio karibu na Yanga wamempa maisha ya kifahari staa anayepambana kuvunja mkataba na Azam, Prince Dube lakini klabu imeingia msituni kwa staili ya tofauti. Dube kwa sasa anaishi kwenye jumba moja la kifahari maeneo ya Salasala, Dar es Salaam kilomita chache kutoka kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi. Lakini habari za ndani…

Read More

Vita ya ubingwa Ligi Kuu Bara karata ngumu

YANGA, Azam na Simba ndizo timu zinazopigania nafasi mbili za juu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara msimu huu ili kupata nafasi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao. Pia ndizo zinazowania ubingwa unaoshikiliwa na Yanga. Katika kipindi hiki cha lala salama ya msimu wa 2023/24, ngoma imekuwa ngumu kutokana na wapinzani…

Read More

Tuzo ya ufungaji Bara ngoma droo

MBIO za kuwania tuzo ya Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara msimu huu ngoma nzito kikanuni, licha ya nyota wa Yanga, Stephane Aziz KI na Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam wakichuana katika orodha ya wafungaji wa mabao hadi sasa. Aziz Ki na Fei wanachuana kuwania tuzo hiyo ambayo msimu uliopita ilibebwa kwa pamoja na…

Read More

Ahly, Esperance fainali Mazembe, Mamelodi hoi

MAMBO ni moto. Miamba ya soka ya Afrika, Al Ahly na Esperance Tunis ndiyo itakayochuana kwenye mchezo wa fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kuwasukuma nje wapinzani wao kwenye mechi za nusu fainali usiku wa Ijumaa. Al Ahly ilikuwa nyumbani huko Cairo, Misri kukipiga na TP Mazembe katika moja ya mechi…

Read More

Prince Dube aishi kifahara dar, aiponza Yanga

MWANASPOTI linajua vigogo walio karibu na Yanga wamempa maisha ya kifahari staa anayepambana kuvunja mkataba na Azam, Prince Dube lakini klabu imeingia msituni kwa staili ya tofauti. Dube kwa sasa anaishi kwenye jumba moja la kifahari maeneo ya Salasala, Dar es Salaam kilomita chache kutoka kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi. Lakini habari za ndani…

Read More

Dodoma Jiji yaizamisha KMC, yapaa kibabe

BAO la Paul Peter limetosha kuipandisha Dodoma Jiji kwa nafasi tatu juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara kutoka nafasi ya 10 hadi ya nane baada ya kufikisha pointi 28. Bao la Peter lililofungwa kipindi cha kwanza na kudumu hadi dakika zote 90 za mchezo, limeifanya Dodoma Jiji kukusanya pointi zote sita kwa KMC ambao…

Read More

Yanga, Coastal kuna mtu atalia Chamazi

HESABU za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania kwa Yanga zipo mikononi mwa Coastal Union Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi huku wagosi hao wa Kaya nao wakitolea macho kumaliza ndani ya Top 4. Yanga ambayo ilitoka suluhu katika mchezo uliopita wa ligi dhidi ya Maafande wa JKT Tanzania kwenye Uwanja wa Meja…

Read More

NIONAVYO: Soka la kununua bila kuuza halina tija

SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA) lina sheria na taratibu za kuhakikisha kuna nidhamu ya mapato na matumizi miongoni mwa nchi wanachama wake ikiwa ni pamoja na klabu. Lengo la utaratibu huu siyo tu kuondoa ‘fedha chafu’ kwenye soka, pia kuhakikisha kuna utamaduni unaofanana katika matumizi ya fedha bila kujali klabu kubwa na ndogo. Katika utaratibu…

Read More

Mastaa Yanga wawaachia msala Azizi KI, Musonda

ACHANA na matokeo yaliyopatikana kati ya Yanga na JKT Tanzania unaambiwa wachezaji zaidi ya watatu ndani ya kikosi cha Yanga wamemtupia zigo kiungo Stephane Aziz Ki na Keneddy Musonda kumaliza suala la penalti na kufunga. Mastaa hao ambao walikuwa wanataja sifa za wachezaji wao waliopo kikosini wakiainisha kuanzia mguu wa kushoto, wa kulia, mkali wa…

Read More