
Simba yafanya umafia Kenya | Mwanaspoti
SIMBA wameonyesha ukubwa wao kwa mara nyingine. Kuna jambo ambalo wamefanya kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars ambalo limemtibua Kocha Benni McCarthy. Ni jinsi walivyoufanya kibabe usajili wa mshambuliaji wao mpya, Mohammed Bajaber na kuumaliza kwa haraka bila kumpa hata nafasi ya kumeza mate. Simba imeendelea kuboresha kikosi chake kwa kusajili…