Veneranda: Mchezaji Fountain Gate Princess anayefuata nyayo za Opah Clement
Dodoma. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, msemo huu unashabihiana na maisha ya Veneranda Kasimiri (17), mcheza soka katika timu ya Fountain Gate Princess. Mbali ya soka, Venaranda ni mwanafunzi anayetarajia kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha sita Mei 6, 2024. Akizungumza katika mahafali ya kidato cha sita katika Shule ya Fountain Gate jijini Dodoma, Aprili 20,…