Mambo 3 yanaibeba Yanga SC

JUMAMOSI ya wiki hii, inapigwa Kariakoo Dabi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga itakuwa mwenyeji wa Simba ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Kuanzia saa 11:00 jioni, ndiyo mchezo huo unatarajiwa kufanyika na kila upande unazihitaji alama tatu ili kujiwekea mazingira mazuri kunako ligi hiyo inayoelekea ukingoni. Yanga na Simba kila mmoja ameutolea macho…

Read More

Kalaba apata nafuu, aanza kuzungumza, kula

ALIYEKUWA nyota wa  TP Mazembe na timu ya taifa ya Zambia, Rainfold Kalaba  amerejewa na fahamu na sasa anaweza kuzungumza na kula. Akitoa taarifa hiyo leo Ijumaa, Ofisa Uhusiano wa University Teaching Hospital (UTH), Nzeba Chanda, amesema kwamba Kalaba baada ya kupata nafuu amefanikiwa kupata mlo wa kwanza tangu ajali hiyo ilipotokea Jumamosi iliyopita. “Hali…

Read More

Azam FC yasajili beki kutoka Mali

AZAM FC imefikia makubaliano na Akademi ya Yeleen Olympique ya Mali kwa ajili ya kumnunua mchezaji wa kimataifa wa nchi hiyo, Yoro Mamadou Diaby. Mlinzi huyo wa kati ambaye alikuwa kwa mkopo kwenye Klabu ya Stade Malien de Bamako, atajiunga rasmi na Azam FC kuanzia msimu ujao wa 2024/25. Akiwa Stade Malien de Bamako, Yoro…

Read More

Diarra dhidi ya Lakred | Mwanaspoti

WAKATI homa ya pambano la Ligi Kuu Bara kati ya vinara wa ligi, Yanga dhidi ya Simba likizidi kupanda kutakuwa na vita nyingine mpya kwenye eneo la makipa wa timu hizo mbili. Hapana shaka Yanga golini nafasi kubwa itakuwa kwa kipa namba moja, Djigui Diarra ambaye sio mgeni wa mechi hizo akicheza mechi yake ya…

Read More

Kapombe aipiga mkwara mzito Yanga

Beki mkongwe wa Simba, Shomari Kapombe amesema watatumia mchezo wa kesho kurudisha matumaini ya kutwaa taji msimu huu huku akikiri wananafasi kubwa ya kufanya hivyo. Kapombe amesema benchi la ufundi limefanyia kazi maeneo yote lakini matatu ndio yalifanyiwa kazi kwa usahihi zaidi lengo likiwa ni kufikia malengo yao. “Kocha ameangalia makosa kwenye mechi zilizopita amehakikisha…

Read More

Matola: Yanga ni bora ila msikariri!

KOCHA Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola amesema hakuna mechi rahisi ya dabi wanawaheshimu wapinzani wao kutokana na kuwa bora lakini wao pia wamejiandaa kukabiliana nao. Matola amesema mchezo wa kesho ni mchezo tofauti na uliopita pamoja na ubora wa Yanga na wao wamejiandaa kuhakikisha wanapata matokeo. ”Hii ni mechi mpya na kutakuwa na mbinu tofauti,…

Read More