
Kofia ya kocha yavunja pambano la kikapu Dar
MCHEZO kati ya Stein Warriors na JKT katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ulikumbwa na dosari baada ya mwamuzi kuuvunja kabla ya robo ya tatu kuanza. Mchezo huo ulioshuhudia watazamaji wengi ulifanyika katika Uwanja wa Donbosco, Upanga, ambapo mwamuzi aliamua kuuvunja baada ya kocha wa Stein Warriors, Karabani Karabani kukataa kutoka…