
Singida Black Stars ya Gamondi itatisha, apita na huyu
SIKU moja baada ya Singida Black Stars kuweka wazi, imefanya biashara ya kumuuza Josephat Bada kwenda JS Kabylie ya Algeria, habari njema kwa mashabiki wa timu hiyo ni kwamba mabosi wa timu hiyo wamefanya jambo moja la kuvuta mashine nyingine ya kuziba nafasi ya nyota huyo. Bada ameitumikia Singidas kwa mkataba wa mwaka mmoja na…