Mmombwa ana dakika 90 UEFA

KIUNGO Mtanzania, Charles Mmombwa, Julai 31 na chama lake la Floriana FC watakuwa na kibarua kizito cha kupambania kuvuka raundi ya pili ya mashindano ya Europa Conference League dhidi ya Ballkani. Floriana FC inashiriki Ligi Kuu ya Malta, maarufu kama Maltese Premier League, ambayo ni ligi ya daraja la juu katika mfumo wa soka nchini…

Read More

Kachwele: Kucheza na Messi kumeniongezea kitu

MSHAMBULIAJI wa Whitecaps anayecheza kwa mkopo Vancouver Whitecaps inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani (MLS), Cyprian Kachwele amesema kucheza ligi moja na Lionel Messi (Inter Miami) kumemwongezea uzoefu. Kinda huyo wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ aliyewahi kupita timu ya vijana ya Azam FC, huu ni msimu wake wa pili Marekani na msimu uliopita akiwa na…

Read More

Ishu ya KenGold kuuzwa iko hivi!

KenGold iko mbioni kuuzwa kwa Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya jijini Mbeya, baada ya kuelezwa kwa sasa vigogo wa timu hiyo hawako tayari kuiendeleza, kutokana na gharama kubwa za kiuendeshaji tangu wainunue mwaka 2019. Timu hiyo imeshuka daraja msimu wa 2024-2025, kutoka Ligi Kuu Bara hadi Championship, baada ya kumaliza nafasi ya 16…

Read More

Baraza amvuta Mkenya mwenzie Pamba Jiji

BAADA ya Pamba Jiji kukamilisha dili la Francis Baraza kwa ajili ya kukiongoza kikosi hicho msimu ujao, kwa sasa kocha huyo inaelezwa amempendekeza Mkenya mwenzake, John Waw ndani ya timu hiyo, kwa lengo la kufanya kazi naye tena. Baraza aliyewahi kuzifundisha Biashara United na Kagera Sugar zote za Tanzania, amejiunga na Pamba kwa lengo la…

Read More

Sakata la Mgunda bado kitendawili

LICHA ya Mashujaa kumtambulisha aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Ismail Mgunda, kwa ajili ya kukichezea kikosi hicho msimu ujao, kumekuwa na sintofahamu baada ya kudaiwa pia nyota huyo amesaini mkataba na Singida Black Stars. Nyota huyo aliitumikia Mashujaa msimu wa 2024-25, kisha baadaye kuuzwa kwenda AS Vita Club ya DR Congo katika dirisha dogo la…

Read More

Kocha Yanga ashusha mafundi wengine wapya

YANGA imebakiza hatua chache kumalizia usajili, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Romain Folz kuna mabadiliko anayoyafanya akipanga kushusha watu wengine wawili wapya Jangwani. Kocha huyo kijana mwenye umri wa miaka 35, aliyetambulishwa wiki iliyopita tayari ameshashusha watu wawili mapema, lakini bado kazi hiyo ataendelea nayo ikidaiwa kwa sasa amepata ruhusa ya kuongeza watu wengine…

Read More

Fadlu abeba mbadala wa Tshabalala

LICHA ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Namungo, beki wa kushoto Anthony Mligo yupo katika rada za Kocha wa Simba, Fadlu Davids anayedaiwa kuwaambia mabosi wa timu hiyo kuwa anahitaji huduma ya kijana huyo mwenye miaka 20, kiasi cha kumuita mazoezini amuone zaidi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Simba, siku ya Alhamisi iliyopita,…

Read More

Dili la Maseko laingia mdudu

DILI la Simba la kutaka kumnasa winga wa kushoto wa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Thapelo Maseko linaonekana kuingia katika ushindani mpya baada ya klabu ya Aris Limassol ya Cyprus kuonyesha nia ya kumsajili nyota huyo kijana. Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa Aris tayari wameanza mazungumzo ya awali kuhusu ada ya usajili na masharti binafsi…

Read More

Mwenda arudishwa mlangoni kwenda Simba

KAMA mabosi wa Yanga wangechelewa kidogo tu, ilikuwa inakula kwao baada ya beki wa kulia wa timu hiyo, Israel Mwenda kubakiza hatua chache kuchukuliwa, lakini mabingwa hao wakapindua meza. Mwenda aliyekiowasha vizuri ndani ya miezi sita tu ya mkopo akitokea Singida Black Stars, alikuwa na hesabu za kuondoka Yanga baada ya kuona jambo lake la…

Read More