
Waarabu waitibulia Singida Black Stars kwa straika
MABOSI wa Singida Black Stars wamempa ‘Thank You’, Jonathan Sowah kubariki kutua Simba, huku hesabu zikiwa ni kumbeba mshambuliaji wa Berekum Chelsea ya Ghana kwa ajili ya msimu ujao, lakini ghafla dini hilo limetibuka baada ya nyota huyo kubadilisha mawazo ya kuja Tanzania baada ya kumalizana na Smouha ya Misri. Amankonah alihitajika Singida kwa ajili…