
Kyombo ajiandaa kutua Mbeya City
MABOSI wa Mbeya City wanasuka kikosi chao kimyakimya kwa ajili ya kuleta ushindani msimu ujao wa 2025-2026 na kwa sasa wako hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa aliyekuwa mshambuliaji nyota wa Pamba Jiji, Habib Kyombo. Nyota huyo aliyejiunga na Pamba kwa mkopo dirisha dogo la Januari 2025, akitokea Singida Black Stars, alivunja mkataba wake…