Namna ya kudhibiti mfumko wa bei utokanao na Vita Mashariki ya Kati
Ikiwa imepita takribani mwezi mmoja tangu kuzuka kwa mvutano wa kijeshi katika ukanda wa Mashariki ya Kati unaohusisha Marekani na Israel dhidi ya Iran, athari zake zimeanza kuonekana katika soko la mafuta duniani na kuzusha hofu ya mfumuko wa bei. Mpaka jana Machi 25, bei ya pipa moja ya mafuta ghafi ilifikia Dola 89 kwa…