
Matukio ya ubakaji yazidi kutikisa Mwanza
Mwanza. Kutokana na hali kuendelea kuwa mbaya ya ukatili wa kijinsia nchini, imeelezwa kuna haja ya kuendelea kutoa elimu ya kina kwa wananchi ya namna ya kuzuia matukio hayo yasiendelee kutokea. Katika Mkoa wa Mwanza pekee, imeelezwa matukio ya ubakaji yanazidi kuongezeka na mpaka sasa, matukio 537 yameripotiwa katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2022…