
Askofu Novatus Rugambwa afariki dunia Roma
Askofu Mkuu, Novatus Rugambwa, Mtanzania aliyewahi kuhudumu kama Balozi wa Baba Mtakatifu katika nchi mbalimbali duniani amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu huko Roma, Italia. Askofu Mkuu Rugambwa amefariki dunia usiku wa Septemba 16, 2025 akiwa Roma, alikokuwa akiishi baada ya kustaafu utumishi wake wa kidiplomasia. Askofu huyo alizaliwa Oktoba 8, 1957 mkoani Kagera na kuwekwa…