Ujerumani yamtimua mkuu wa kituo cha Uislamu – DW – 29.08.2024
Mamlaka ya ndani ya Hamburg imetoa amri ya kurudishwa kwao Mohammad Hadi Mofatteh, 57, wiki hii kulingana na msemaji wa aliyetoa taarifa hiyo Alhamis. Hakutoa taarifa iwapo Mofatteh bado yupo nchini Ujerumani. Barua hiyo inamtaka Mofatteh aihame Ujerumani ndani ya siku 14, la sivyo atarudishwa katika nchi aliyotokea kwa gharama yake mwenyewe. Kulingana na mamlaka…