Senegal Wanyang’anywa Ubingwa wa AFCON, Morocco Washinda Mezani
Global Publishers March 18, 2026 0 Comments Mabingwa wa Afrika, Senegal wamepokonywa rasmi taji la Africa Cup of Nations miezi miwili baada ya sherehe kubwa za ushindi, kufuatia uamuzi wa kushangaza wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Uamuzi huo umeipa Morocco ushindi wa mezani wa mabao 3-0, baada ya bodi ya rufaa ya CAF kukubaliana…