RC aagiza walevi, wacheza ‘pool table’ muda wa kazi kukamatwa
Moshi. Mkuu Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewaagiza wakuu wa wilaya zote mkoani huo kukamata na kuondoka na gololi na fimbo zinazotumika kuchezea ‘pool table’ muda wa kazi. Amesema kumeibuka wimbi la vijana kutojihusisha na shughuli zozote za kiuchumi na badala yake wakati wa saa za kazi wamekuwa wakicheza michezo hiyo ambayo ni hatari kwa…