Chikola afunguka kutua Singida Black Stars

UONGOZI wa Yanga umemtoa kwa mkopo kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Offen Chikola kwenda Singida Black Stars, huku mwenyewe akisema hiyo kwake ni sehemu ya kumjenga zaidi. Chikola aliyejiunga na Yanga mwanzoni mwa msimu huu akitokea Tabora United ambayo kwa sasa inafahamika kwa jina la TRA United, ametolewa kwa mkopo wa miezi sita ili apate…

Read More

Bunge kuanza, mambo matano yakisubiriwa

Dodoma. Mkutano wa pili wa Bunge la Tanzania unaanza kesho Jumanne, Januari 27, 2026 huku mambo matano yakitarajiwa kutokea katika kipindi cha wiki mbili cha mkutano huo. Ni mkutano utakaoshuhudiwa kwa mara ya kwanza katika Bunge linaloongozwa na Spika Mussa Zungu likiwa na Serikali kamilifu kwa maana ya Waziri Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)…

Read More

CMSA YAZINDUA ZIADA FUND, OFISA MTENDAJI MKUU ATOA NENO

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imezindua Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa Kampuni ya Africa Pension Fund Limited (APEF) unaoitwa Ziada Fund. Akizungumza leo Januari 26,2026 jijini Dar es Salaam,Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo CPA Nicodemus Mkama, amesema uzinduzi wa Mfuko huo ni baada ya idhini iliyotolewa na mamlaka hiyo baada…

Read More

CPA.MKAMA: KUNA MAENDELEO MAKUBWA NA USTAWI MZURI KATIKA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesema katika kipindi cha miaka mitano, kumekuwa na maendeleo makubwa na ustawi mzuri wa uwekezaji katika mifuko ya uwekezaji wa pamoja. Imefafanua katika kipindi kilichoishia Disemba 2025 imeongezeka kwa asilimia 65.10 na kufikia Sh. trilioni 4.35, ikilinganishwa na Sh. trilioni 2.64 katika kipindi kilichoishia…

Read More

Madiwani Ilemela waagiza kodi ikusanywe bila kero

Mwanza. Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela limepitisha mpango wa bajeti ya Sh101.74 bilioni kwa mwaka wa fedha 2026/2027, huku likitaka ukusanyaji wa mapato ufanyike kwa njia rafiki bila kuwasumbua au kutumia nguvu kwa walipa kodi. Bajeti hiyo imepitishwa katika kikao maalumu cha baraza kilichofanyika leo Jumatatu, Januari 26, 2026, baada ya…

Read More

TANZANIA MWALIMU WA UTAWALA BIRA AFRIKA WAZIRI MKUU MWIGULU

FARIDA MANGUBE,Morogoro Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Tanzania ina mifumo imara ya kusimamia rasilimali na kudhibiti rushwa, hali inayofanya nchi iendelee kuwa kielelezo na mwalimu kwa mataifa mengi ya Afrika katika masuala ya utawala bora. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo Januari 26, 2026, mkoani Morogoro, alipomwakilisha Rais Dkt….

Read More